Ruto abadilisha ujumbe wake wa kisiasa uchaguzi wa 2027 ukijongea

Election

Source: Taifa LeoBy Fatuma Bariki👁 8 views

William Ruto

Originally published by Taifa Leo — Read the original article →

Candidate announcement

RAIS William Ruto amebadilisha ujumbe wake wa kisiasa kuelekea uchaguzi mkuu wa 2027, akitilia mkazo usawa, kupunguza ubaguzi wa kihistoria na kugawa rasilimali za taifa kwa haki.

Rais anatumia kaulimbiu mpya ya “Usawa ni Sawa – Mbele Pamoja”, akisema uchaguzi ujao unapaswa kuamuliwa na mipango ya maendeleo badala ya ukabila na miungano ya wanasiasa.


Author: Fatuma Bariki
Source: Taifa Leo

Read Full Article at Taifa Leo

🗳️ Save your six races
🗳️ Know. Choose. Vote. · Save your six races · Share on WhatsApp →
Save your six races
🗳️ Save your six races
🗳️ Save your six races