
Source: Taifa LeoBy Fatuma Bariki👁 2 views
Originally published by Taifa Leo — Read the original article →
Candidate announcement

SENETA wa Nairobi Edwin Sifuna ameiomba Mahakama Kuu itupilie mbali kesi inayotaka kuwalazimisha viongozi wa Linda Mwananchi kueleza jinsi fedha walizochangishiwa na Wakenya kupitia nambari ya Paybill, zilivyotumika.
Katika majibu yake kwa ombi lililowasilishwa na Alan Masakhalia, Bw Sifuna anasema Mahakama Kuu haina mamlaka ya kusikiliza kesi hiyo kwa kuwa masuala yaliyoibuliwa yanapaswa kushughulikiwa kupitia mifumo ya kutatua mizozo iliyoainishwa katika Kifungu cha 21 cha Sheria ya Ufadhili wa Kampeni za Uchaguzi.
Author: Fatuma Bariki
Source: Taifa Leo
Read Full Article at Taifa Leo
Source: RSS Feeds - Nairobi Leo👁 1 views

Source: Tuko.co.ke👁 3 views

Source: Tuko.co.ke👁 5 views