Vijana wafichua sababu za kuhama makanisa ya wazazi wao

Source: Taifa LeoBy Fatuma Bariki👁 2 views

Originally published by Taifa Leo — Read the original article →

Kwa vijana wengi, ni wazazi wao waliowachagulia kanisa walikokulia. Huko ndiko walikohudhuria shule ya Jumapili, kujifunza Biblia, kupata marafiki na kushiriki shughuli za kidini.

Hata hivyo, wanapokua na kuanza kujitafutia mwelekeo wa maisha, baadhi hujiuliza ikiwa makanisa hayo bado yanakidhi mahitaji yao ya kiroho.


Author: Fatuma Bariki
Source: Taifa Leo

Read Full Article at Taifa Leo