Image: Taifa LeoKazi aliyobakisha Raila kabla ya kifo chake
Published on October 16, 2026
USHIRIKIANO wa kisiasa alioanzisha aliyekuwa Waziri Mkuu Raila Odinga na Rais William Ruto kabla ya kifo chake Oktoba 15 2025, sasa unaingia katika hatua muhimu huku vyama vya UDA na ODM vikijiandaa kwa uchaguzi mkuu wa Agosti 10, 2027. Kazi kubwa iliyobaki ni kutimiza ahadi za makubaliano yao, kuafikiana kuhusu ugavi wa mamlaka na kuunda muungano utakaoweza kustahimili ushindani waโฆ




