ElectionSource: Taifa LeoBy Fatuma Bariki👁 5 views
William Ruto
Originally published by Taifa Leo — Read the original article →
Candidate announcement

SERIKALI za kaunti zinatarajiwa kupokea Sh71.09 bilioni zaidi katika mwaka wa kifedha wa 2026/2027, baada ya Rais William Ruto kutia saini sheria mpya inayolenga kuimarisha uwajibikaji katika matumizi ya fedha za umma.
Rais alitia saini Mswada wa Fedha za Ziada kwa Serikali za Kaunti 2026 kuwa sheria katika Ikulu ndogo ya Eldoret, Kaunti ya Uasin Gishu, jana kabla ya maadhimisho ya Siku ya Mashujaa leo.
Author: Fatuma Bariki
Source: Taifa Leo
Read Full Article at Taifa Leo