Kazi aliyobakisha Raila kabla ya kifo chake

Election

Source: Taifa LeoBy Fatuma Bariki👁 12 views

William RutoUDAODM

Originally published by Taifa Leo — Read the original article →

Party activity

USHIRIKIANO wa kisiasa alioanzisha aliyekuwa Waziri Mkuu Raila Odinga na Rais William Ruto kabla ya kifo chake Oktoba 15 2025, sasa unaingia katika hatua muhimu huku vyama vya UDA na ODM vikijiandaa kwa uchaguzi mkuu wa Agosti 10, 2027.

Kazi kubwa iliyobaki ni kutimiza ahadi za makubaliano yao, kuafikiana kuhusu ugavi wa mamlaka na kuunda muungano utakaoweza kustahimili ushindani wa kisiasa kuelekea uchaguzi ujao.


Author: Fatuma Bariki
Source: Taifa Leo

Read Full Article at Taifa Leo

🗳️ Save your six races
🗳️ Know. Choose. Vote. · Save your six races · Share on WhatsApp →
Save your six races
🗳️ Save your six races
🗳️ Save your six races