Mabadiliko katika uume yanayohitaji ushauri wa daktari haraka upesi

Source: Taifa LeoBy Fatuma Bariki👁 1 views

Originally published by Taifa Leo — Read the original article →

MABADILIKO katika uume yanaweza kuwa ishara ya matatizo makubwa ya kiafya, yakiwemo kisukari, magonjwa ya figo na saratani, hii ni kulingana na utafiti ulioangazia dalili ambazo wanaume wengi hupuuza.

Mtaalamu wa Masuala ya Matibabu, Shafi Wardak, wa kliniki ya The Forbury, Uingereza, kwenye utafiti huo, anaonya kuwa wanaume hawapaswi kumakinik   ia uwezo wa uume kupata ashiki pekee, bali pia mabadiliko mengine yasiyo ya kawaida katika kiungo hicho.


Author: Fatuma Bariki
Source: Taifa Leo

Read Full Article at Taifa Leo