

Originally published by Taifa Leo — Read the original article →

Sheria ya Ndoa ya Kenya inaweka mipaka kwa mtu aliye kwenye ndoa ya mke mmoja kuingia katika ndoa nyingine, huku ikiorodhesha uhusiano wa kifamilia unaokatazwa kufunga ndoa.
Je, mtu anaweza kuoa au kuolewa tena wakati ndoa yake ya kwanza bado ipo kisheria? Jibu linategemea aina ya ndoa aliyo nayo, kwa mujibu wa Sheria ya Ndoa ya Kenya ya mwaka 2014.