Wafanyakazi wa kaunti zote 47 watishia kugoma

Source: Taifa LeoBy Fatuma Bariki👁 2 views

Originally published by Taifa Leo — Read the original article →

HUDUMA  katika kaunti zote 47 huenda zikavurugika baada ya chama cha wafanyakazi wa serikali za kaunti (COGWU) kutishia kuchukua hatua kupinga mapendekezo ya Tume ya Ugavi wa Mapato (CRA) ya kudhibiti nyongeza za mishahara.

Katibu Mkuu wa chama hicho, Roba Duba, alisema mapendekezo ya tume inayoongozwa na Mary Chebukati yatawaathiri wafanyakazi kwa kusababisha kupunguzwa kwa mishahara, kusimamishwa kwa ajira mpya na kuongezeka kwa changamoto kazini.


Author: Fatuma Bariki
Source: Taifa Leo

Read Full Article at Taifa Leo

🗳️ Save your six races
🗳️ Know. Choose. Vote. · Save your six races · Share on WhatsApp →
Save your six races
🗳️ Save your six races
🗳️ Save your six races