Wanasiasa wa upinzani na serikali washindana hafla ya Raila 

Election

Source: Taifa LeoBy Fatuma Bariki👁 15 views

William RutoODM

Originally published by Taifa Leo — Read the original article →

Party activity

HAFLA ya kuadhimisha mwaka mmoja tangu kifo cha aliyekuwa kiongozi wa ODM Raila Odinga iligeuka uwanja wa ushindani wa kisiasa kati ya viongozi wa upinzani na wale wanaounga mkono serikali jumuishi ya Rais William Ruto.

Sherehe hizo zilifichua tofauti kuhusu urithi wa kisiasa wa Raila na mwelekeo ambao ODM inapaswa kuchukua kuelekea uchaguzi mkuu wa 2027.


Author: Fatuma Bariki
Source: Taifa Leo

Read Full Article at Taifa Leo

🗳️ Save your six races
🗳️ Know. Choose. Vote. · Save your six races · Share on WhatsApp →
Save your six races
🗳️ Save your six races
🗳️ Save your six races