

Originally published by Taifa Leo — Read the original article →

WIKI baada ya mgonjwa wa Ebola aliyekuwa ameingia Kenya kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kupitia Uganda kufariki, hakuna kisa kingine kilichothibitishwa nchini kufikia sasa.
Wataalamu wa afya wanasema licha ya kutokwepo kwa maambukizi mapya, Kenya italazimika kusubiri siku 21 ndipo itangazwe kuwa huru kutokana na Ebola.