Teknolojia za kilimo Kenya inaweza kuiga kutoka Amerika

Source: Taifa LeoBy Fatuma Bariki👁 19 views

Originally published by Taifa Leo — Read the original article →

KENYA inaweza kutumia teknolojia za kilimo kutoka Amerika kuongeza uzalishaji wa chakula, kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi na kupunguza utegemeaji wa uagizaji wa mazao kutoka nchi. Wito huo umetolewa na maafisa wakuu wa kilimo kutoka Amerika, na umejiri wakati data mpya ya Foreign Agricultural Service (FAS) ya Idara ya Kilimo ya Amerika inaonyesha kuwa uzalishaji wa mahindi Kenya msimu wa 2026/27 umepungua kwa asilimia 51, kutoka makadirio ya awali ya tani milioni 4.5 hadi tani milioni 2.2.

Ted McKinney, Mkurugenzi Mkuu wa National Association of State Departments of Agriculture (NASDA), kwenye mahojiano ya kipekee na ‘Akilimali’ alisema Kenya inapaswa kukumbatia teknolojia mpya za kilimo ambazo zimeandikisha rekodi bora ya ufanisi katika kuongeza kiwango cha uzalishaji.


Author: Fatuma Bariki
Source: Taifa Leo

Read Full Article at Taifa Leo

🗳️ Save your six races
🗳️ Know. Choose. Vote. · Save your six races · Share on WhatsApp →
Save your six races
🗳️ Save your six races
🗳️ Save your six races