Wapigakura wampa Trump kipigo kikali kwa kupuuza uchumi, kuzua vita Iran na bei ghali ya bidhaa

Source: Taifa LeoBy Fatuma Bariki👁 2 views

Originally published by Taifa Leo — Read the original article →

Election process

WASHINGTON DC, AMERIKA:

CHAMA cha Democrats kimefanikiwa kunyakua udhibiti wa mabunge yote mawili ya Marekani, baada ya kupata ushindi mkubwa katika uchaguzi wa katikati ya muhula uliofanyika Jumanne, Novemba 3, 2026, katika matokeo yanayochukuliwa kuwa pigo kubwa la kisiasa kwa Rais Donald Trump na chama chake cha Republican.


Author: Fatuma Bariki
Source: Taifa Leo

Read Full Article at Taifa Leo