Wizara sasa yabadilisha kalenda ya elimu kuanzia mwaka wa 2027 kukabili migomo

Election

Source: Taifa LeoBy Fatuma Bariki👁 3 views

Originally published by Taifa Leo — Read the original article →

WIZARA ya elimu imepanga upya kalenda ya shule ya mwaka wa 2027 huku ikirefusha likizo za katikati ya muhula na kubadilisha vipindi vya likizo katika mabadiliko yaliyofuatia ghasia zilizoshuhudiwa shuleni katika muhula wa pili 2026.

Kalenda mpya inapunguza muhula wa pili kutoka wiki 14 hadi wiki 13 katika viwango vyote vya shule na kuongeza muhula wa tatu kutoka wiki tisa hadi 10.


Author: Fatuma Bariki
Source: Taifa Leo

Read Full Article at Taifa Leo